Magoli Ya Yanga

Magoli Ya Yanga смотреть последние обновления за сегодня на .

Magoli | Yanga 2-0 Namungo | NBC Premier League 04/02/2023

83813
581
91
00:03:19
04.02.2023

Magoli mawili kutoka kwa Dickson Job na Stephane Aziz Ki yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Haya hapa magoli yenyewe....

Yanga 2-0 Namungo | Highlights | NBC Premier League 04/02/2023

21403
241
48
00:17:12
04.02.2023

Magoli mawili kutoka kwa Dickson Job na Stephane Aziz Ki yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tazama highlights.......

#TAZAMA| MAGOLI | YANGA SC 2-0 NAMUNGO FC | NBC PL - 04/02/2023

18274
32
2
00:00:50
04.02.2023

Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍

Magoli yote Yanga ikiichakaza Rhino Rangers 7-0 Azam Sports Federation Cup 29/01/2023

150709
975
133
00:11:50
29.01.2023

Yamefungwa magoli saba, yote yakitoka Yanga dhidi ya Rhino Rangers kutoka Ligi Daraja la Pili, katika mchezo wa kusaka kuingia hatua ya 16 bora, Azam Sports Federation Cup uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kennedy Musonda amefunga magoli mawili dakika ya 16 na 46 huku mengine yakitoka kwa Dickson Ambundo dakika ya 7, Stephane Aziz Ki dakika ya 20, Farid Mussa dakika ya 25, Yannick Bangala dakika ya 26 na David Bryson dakika ya 90'+3. Kwa ushindi huu, Yanga sasa itakipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora.

Magoli | Yanga 2-1 Simba | Ngao ya Jamii 13/08/2022

1164323
4850
506
00:04:32
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....

Magoli | Simba 3-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 03/02/2023

262797
1530
243
00:06:27
03.02.2023

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya 63 huku goli pekee la Singida likitoka kwa Bruno Gomes aliyefunga kwa free kick dakika ya 35.

Magoli | Azam FC 2-3 Yanga SC | NBC Premier League 25/12/2022

250020
1674
247
00:06:40
25.12.2022

DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.

Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022

229833
1579
96
00:05:45
17.12.2022

Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86. Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania walipata pigo kwa mshambuliaji wao Ambrose Awio kutolewa kwa kadi nyekundu kufutia kadi ya pili ya njano.

Magoli | Yanga 5-0 Zalan FC | CAFCL | 17/09/2022

293998
1939
239
00:06:30
17.09.2022

Tazama magoli yote ya Yanga SC ikiichapa Zalan FC 5-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Magoli matatu yamefungwa na Fiston Mayele na mengine yamefungwa na Farid Mussa na Stephane Aziz Ki

Magoli | Yanga 4-1 Singida BS | NBC Premier League 17/11/2022

293659
1887
197
00:07:52
17.11.2022

HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na goli pekee la kufutia machozi kwa Singida likitoka kwa Medie Kagere dakika ya 66. Haya hapa magoli yote...

Magoli | Yanga SC 3-0 Mtibwa Sugar | NBCPL - 13/09/2022

275030
1690
265
00:04:39
13.09.2022

Tazama magoli yote ya Yanga SC ikiichapa Mtibwa Sugar mabao 3-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League uliopigwa dimbani Benjamin Mkapa. Wafungaji ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Stephane Aziz Ki

MAGOLI 10 BORA YA FISTON MAYELE/MIUJIZA NA MAAJABU YA MFALME MAYELE.

304614
2905
90
00:12:02
18.12.2022

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Magoli yote | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 20/12/2022

139559
1256
82
00:05:16
20.12.2022

Mabingwa watetezi… Yanga SC leo wamtoa kichapo kingine kwa Coastal Union, wakiwapiga 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa marudiano, ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Fiston Mayele amefunga mawili dakika ya 29 na 47 huku Feisal Salum akiongeza la tatu dakika ya 66.

Magoli na penati | Yanga 2-2 Azam | NBC Premier League 06/09/2022

594652
2734
533
00:09:28
06.09.2022

Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77. Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.

Magoli | Yanga 1-1 Simba | NBC Premier League 23/10/2022

320147
1708
338
00:03:56
23.10.2022

Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45. Haya hapa magoli.

Magoli yote: Yanga walivyoichakaza Kurugenzi (8-0), Mzize apiga manne | ASFC 11/12/2022

221419
1246
137
00:08:54
11.12.2022

HAT-TRICK: Clement Mzize amefunga magoli manne na kuondoka na mpira wa #hattrick katika ushindi wa 8-0 iliyoupata Yanga dhidi ya Kurugenzi FC inayoshiriki First League (Ligi daraja la Pili) kutoka Maswa mkoani Simiyu. Mzize amefuga magoli hayo manne sekunde ya 15, dakika ya 8, 41, 45'+4 ..... Mengine yamefungwa Jefta John dakika ya 6 likiwa ni la kujifunga, David Bryson dakika ya 77 na Yusuph Athuman dakika ya 79 na 85. Hii ni mechi ya raundi ya pili #AzamSportsFederationCup iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Magoli Mayele | Yanga 2-0 Mbeya City | NBC Premier League 26/11/2022

146647
860
104
00:03:13
26.11.2022

Magoli mawili ya Fiston Mayele dakika ya 24 na 79 yameipa Yanga ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania #NBCPremierLeague ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Haya hapa magoli yote mawili.

Magoli | Yanga 1-1 Al Hilal | CAF CL 08/10/2022

347042
1606
229
00:02:37
08.10.2022

Fiston Mayele amefunga tena kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika, Yanga ikitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Hilal Oumdurman ya Sudan, kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli la Al Hilal kwenye mchezo huu limepatikana kutoka kwa Mohamed Yousif ikiwa ni takriban dakika 15 baada ya Yanga kutangulia dakika ya 51.

Magoli | Zalan FC 0-4 Yanga SC | CAFCL - 10/09/2022

356295
2477
287
00:04:50
10.09.2022

Tazama magoli yote manne ya Yanga SC, ikiiadhibu Zalan FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF). Fiston Mayele amefunga hat trick na kuondoka na mpira huku goli moja likifungwa na Feisal Salum

Fiston Kalala Mayele All Goals in Young African sport(YANGA) IN HD

102784
557
52
00:13:43
05.03.2022

Fiston Kalala Mayele Football player Born: June 24, 1994 (age 27 years), Mbuji-Mayi, Democratic Republic of the Congo Current teams: DR Congo national football team (#19 / Forward)

Magoli ya Mayele | Dodoma Jiji 0-2 Yanga | NBC Premier League 22/11/2022

157433
1070
107
00:02:49
22.11.2022

Fiston Mayele amefunga magoli mawili dakika ya 41 na 67 akiipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida, ikiwa ni mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. #NBCPremierLeague Haya hapa magoli....

Magoli | Namungo 0-2 Yanga | NBC Premier League 07/12/2022

93731
700
111
00:03:05
07.12.2022

Magoli mawili kutoka kwa Yannick Bangala (40') na Tuisila Kisinda (83') yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Ushindi huu ni kwanza kwa Yanga ugenini dhidi ya Namungo FC kwenye ligi kuu... katika michezo saba waliyokutana.

Magoli yaliyovunja 'unbeaten' ya Yanga wakipigwa 2-1 na Ihefu | NBC Premier League 29/11/2022

269568
1406
225
00:05:16
29.11.2022

Hatimaye Ihefu SC wamevunja mwiko wa Yanga kutopoteza mchezo katika mechi 49, wakiwatandika 2-1 kwenye Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Yanga wametangulia kwa goli la Yanick Bangala dakikaya 9, kabla ya Never Tigere kusawazisha kwa free-kick dakika ya 39... Lakini Lenny Kissu akafunga kona iliyopigwa na Never Tigere dakika ya 62. Mara ya mwisho Yanga kupoteza mchezo wa ligi kuu ilikuwa ni Aprili 25, 2022.

Magoli | Ruvu Shooting 1-2 Yanga | NBC Premier League 03/10/2022

128033
786
71
00:03:57
03.10.2022

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC, Yanga SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Dimba la benjamin Mkapa, Dar es salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Feisal Salum na Bakari Mwamnyeto kipindi cha pili wakati goli pekee la Ruvu likifungwa na Rolland Msonjo dakika ya 86.

Magoli | Yanga Viongozi 2-1 Wasanii | Mechi ya Kirafiki 19/03/2022

514519
2317
181
00:04:55
19.03.2022

Ni katika kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani, timu ya viongozi wa Yanga imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ay wasanii (muziki na filamu) kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa na mechi kumalizika kwa timu ya viongozi wa Yanga kupata ushindi wa mabao 2-1. Wafungaji ni Yusuph Mlela upande wa Wasanii na Mohamed Hussein (Mmachinga) na Hersi Said wakifunga magoli ya Yanga

Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022

563464
3415
533
00:05:09
15.06.2022

YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi. Haya hapa magoli

Yanga 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/10/2022

1024323
4589
629
00:23:19
23.10.2022

Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45.

Goli la Mayele | Yanga 1-0 Ihefu | NBC Premier League 16/01/2023

115298
576
57
00:01:49
16.01.2023

Kosa moja, Goli moja... Ndicho kilichomkuta golikipa wa Ihefu, Fikirini Bakari mbele ya Fiston Mayele aliyeifungia Yanga goli pekee kwenye mchezo huu akitumia makosa ya golikipa huyo.... Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tazama kilichotokea

Magoli | Azam 1-2 Yanga | NBC Premier League 06/04/2022

801667
3270
483
00:04:57
06.04.2022

Fiston Kalala Mayele amefunga goli la ushindi kwa mtindo wa aina yake na kuifanya Yanga iondoke na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Rodgers Kola kabla ya Yanga kusawazisha kwa penati kupitia kwa Djuma Shabani na kisha Mayele kupachika bao la pili dakika ya 78.

USHINDI/MAGOLI YOTE YA YANGA MSIMU HUU | MAYELE | FEITOTO | NTIBAZONKIZA MAGOLI KAMA YOTE.

11029
1
00:14:32
28.12.2021

MAGOLI YOTE YA YANGA MSIMU WA 2021/22 HADI MWEZI WA 12

Magoli | Coastal Union 0-2 Yanga | NBC Premier League 20/08/2022

221075
1354
100
00:03:09
20.08.2022

Yanga imeendelea kukusanya alama baada ya leo kuitandika Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wake wa pili wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara msimu huu wa 2022/23 uliopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Magoli ya Yanga yametoka kwa Bernard Morrison dakika ya 4 na Fiston Mayele dakika ya 68. Haya hapa magoli yote.

Magoli 10 bora ya yanga msimu wa 2021/2022|| Yanga 10 best goals in 2021/2022 season.

546
7
0
00:04:57
27.07.2022

After the signing of new player in 2020 -2021 and bad performance the young Africa sports club fire the head coach cedric kaze and appoint Nasreddine Nabi Tunisian football manager as new head coach since April 2021.The 2021-2022 season start like any other season but this was different since young African sports club managements under doctor Mshindo Msolla and gsm under engineer hersi said invest heavily in new players like fiston mayele, djuma shaban ,yannick bangala ,jesus moloko ,khalid aucho and Djigui Diarra and the new club spoken from their rival simba Haji Sunday manara ,the new squad under the coach nabi start well by beating their rival simba sport club one nil scored by fiston mayele assisted by farid mussa in the community shield (ngao ya jamii) Young African sports club start the 2021-2022 league campaign with narrow win away against Kagera sugar scored by feitoto and another win home against Geita gold followed by wonderful performance against kmc fc azam fc and ruvu shooting and this become the first time young African sports win five matches consecutive in the league in four seasons. After young African sports club lead the nbc premier league since the third round and the first round their opponent especially simba fans and their managements say there are always lead the first round and start lose points in the second round buts this time was different After game weeks 25 its come to count down after their rivalry simba drew one one against Geita gold, the next game week of game week of 26 was against biashara united in which if yanga win there are the champions but unfortunately the game end one one after fiston mayele goal equalized after two minutes by biashara united in ccm kirumba stadium.

Magoli 15 bora ya NBC Premier League kwa msimu 2021/2022 | Top 15 goals NBC premier league.

109389
185
7
00:09:01
31.07.2022

Tazama magoli 15 bora ya Tanzania NBC premier league kwa msimu ulioisha (2021/2022) Watch 15 best Tanzania NBC league goals scored last season 2021/2022. #Magoli15bora #magoli #magolibora #nbcpremierleague #mayele #feitoto #feisalsalum #sakho #okrah #phiri #akpan #aziziki #Yanga #YangaMchezowakirafikileo #simba #Kambiyayanga #Yangaday #Msuva #azizki #Yangasc #Usajilileo #jezizayanga #yezimpyasimba #jezizasimba #Uchambuzi #UsajiliYanga #Azamtv #Caf #Yanga #ClubBingwaAfrika #Georgempole #UsajiliYanga #Yangaleo #Saimonimsuva #Caf #Yangaleo #yanga #KamboleYanga #usajiliwayanga #Tetesizausajili #Tetesizausajiliyanga #tetesizausajilimsimuujao #Usajiliyanga #simbasc #usajiliwasimba #UsajiliwaManzokisimba #hajimanara #fyp #viral #football #simbasc #yangasc #usajiliwasimba #usajiliwayanga #usajiliyangasc #usajilisimbasc #Tff #transfermarkt #alahlytv #Wydadyclub #Caf #Manara #AhmedAlly #Nanizaidi #usajilileo #KochaMpyaSimba #MchezajimpyaYanga #mchezajimpyasimba #UsajiliwaSimba2022na2023 #UsajiliwaYanga2022na2023 #simbasc #yangasc #usajiliwasimba #usajiliwayanga #usajiliyangasc #usajilisimbasc #Tff #transfermarkt #alahlytv #Wydadyclub #Caf #Yangatv #Manara #AhmedAlly #Nanizaidi #usajilileo #KochaMpyaSimba #MchezajimpyaYanga #mchezajimpyasimba #UsajiliwaSimba2022na2023 #UsajiliwaYanga2022na2023 #cloudsmedia #wasafimedia #magazeti #mwananchi #mwanasports #champion #yangasc #simbasc #diamondplutnumz #alikiba #harmonize #marioo #chelsea #mancity #nbc #epl #music #songs #juakali #kitimtim #azamtv #azamfc #messi #ronaldo #mpole #mayele #mwanza #diamond #mavala #biashara #mbeyakwanza #coastalunion #prisons #ruvushooting #mbeyacity #polisitanzania #chelsea #madrid #liverpool #paris #manchesterutd #arsenal #barcelona #azamsports #alahly #caf #orandopirates #mamelod #kaizercheifs #rsbercane #chipolopolo #nbcpremerleague #tff #mwanza #cask #adidas #nike #puma #millardayo #mpenjatv #mavalatv #ayomatv #ozil #benzema #messi #ronaldo #neymer #benzema #vinjr #werner #hazard #james #kdb #mpole #mayele #inonga #feytoto #golilafei #kibudenis #chama #bwalya #mkude #manula #beno #morrisoni #wawa #mwamnyeto #pablo #gomezi #maloko #aucho #ushindi #bangala #job #tips #sureboy #alahly #clubbingwaafrica #wydadybingwa #juakali #kitimtim #oka #worldcup #channel10 #azamtv #tv3 #huba #saidontibazonkiza #huba #juakali #bigsundaylive #sportsarena #sportscourt #sportsextra #edigital #mashamsham #goodmorning #xxl #jahazi #millardayo #marioo #barnaba #mwantumu #jambonavijambo #worldcup #manula #shabalala #kapombe #inonga #onyango #mkude #mzamiru #kanoute #bwalya #chama #sakho #banda #mhilu #morrison #kagere #mwanuke #mugalu #kibudenis #nyoni #diara #bangala #job #mwamnyeto #kibwana #shabanidjuma #aucho #yacuba #mayele #moloko #faridmusa #deuskaseke #sureboy #mpole #singidabigatars #dtb #azamfc #kagerasuger #mtibwasuger #biasharautd #dodomajiji #tetesizausajili #manzoki #uganda #tanzania #kenya #uganda #newsongs #babalevobirthday #babalevo #vidolezimbabwe #roma #kichampyaaimbaac #nabi #yangabingwa #kochaorlando #mossesphili #azizki #wananchi #odoah #mitindo #vunjabei #messi #magoliyamessi #magolimatanoyamessi #uefa #love #mapenzi #movies #mbosso #okabehindthesceen #rayvanyftzuchu #diamondftbabalevo #diamondftmbosso #bobjuniorkwababalevo #bobjunior #kajala #harmonizemtwara #paula #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #fashionstyle #lifestyle #makeupvideo #makeuptutorial #jeffreestarcosmetics #art #fashion #beautytips #subscribe #viral #gamer #rap #facebook #explore #ps #art #soundcloud #k #artist #newmusic #trending #bhfyp #likeforlikes #fortnite #followforfollowback #photography #funny #meme #m #applemusic #s #rapper #fashion #podcast #producer #a #game #twitter #xbox #playstation #itunes #likes #vlog #sub #trap #streamer #live #f #games #o #youtube #meme #viral #explorepage #likes #bhfyp #tiktok #trending #live #hiphop #video #youtube #rap #gaming #fortnite #gamer #game #games #xbox #producer #youtuber #youtube #youtubegaming #youtubemusic #youtubeindia #youtubekids #youtuberindonesia #youtubeitalia #youtubeuse #youtubegamer #youtubelife #youtubesubscribers #youtubersbrasil #youtubebrasil #youtubelive #youtubecommunity #youtubeblogger #youtubecreator #youtuberewind #youtuberp #youtubevlogger #youtubepremium #youtube #youtuber #youtubers #youtubechannel #youtubevideos #youtubevideo #youtubegaming #youtubemusic #youtubeindia #youtubekids #youtuberindonesia #youtubeitalia #youtubeuse #youtubegamer #youtubelife #youtubesubscribers #youtubersbrasil #youtubebrasil #youtubelive #doctam3 #supercars #purplemante #violaparsifae #performante #jeffreestarcosmetics #maccosmeticsuk #barrym #barrymcosmetics #subscribe

Azam FC 2-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 25/12/2022

492296
2485
327
00:20:49
25.12.2022

DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.

MAGOLI YOTE 49 YA YANGA MSIMU WA 2021/22 || YOUNG AFRICANS ALL 49 GOALS IN 2021/22 SEASON

374
4
0
00:18:56
20.07.2022

The season start like any another season but this was different since yanga managements under doctor Mshindo Msolla and gsm under engineer hersi said invest heavily in new players like fiston mayele, djuma shaban ,yannick bangala ,jesus moloko ,khalid aucho and Djigui Diarra and the new club spoken from their rival simba Haji Sunday manara ,the new squad under the coach nabi start well by beating their rival simba sport club one nil scored by fiston mayele assisted by farid mussa in the community shield (ngao ya jamii) Young African sports club start the 2021-2022 league campaign with narrow win away against Kagera sugar scored by feitoto and another win home against Geita gold followed by wonderful performance against kmc fc azam fc and ruvu shooting and this become the first time young African sports win five matches consecutive in the league in four seasons, After young African sports club lead the nbc premier league since the third round and the first round their opponent especially simba fans and their managements say there are always lead the first round and start lose points in the second round buts this time was different After game weeks 25 its come to count down after their rivalry simba drew one one against Geita gold, the next game week of game week of 26 was against biashara united in which if yanga win there are the champions but unfortunately the game end one one after fiston mayele goal equalized after two minutes by biashara united in ccm kirumba stadium. The next game of game week 27 was against coastal union of tanga which played in dar es salaam in Coach Nasreddine Nabi’s side were declared champions on Wednesday night after picking a convincing 3-0 win against Coastal Union of Tanga in a match played at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam. In-form striker Fiston Mayele netted a brace, while Chico Ushindi also got his name on the score sheet to ensure Young Africans SC did not have to postpone the celebrations. Young Africans are back to winning ways Young Africans SC who last won the League title in 2017 have accumulated 74 points from 30 matches played. Nabi’s team finish the season unbeaten, their rivals Simba sport club are second on the log with 61 points after 30 matches.

Magoli yote Yanga ikiichapa Kagera Sugar 3-0 NBC Premier League 27/02/2022

381950
1895
122
00:04:26
27.02.2022

Vinara wa ligi kuu, Yanga SC leo wametoa kichapo cha mabao 3-0 kwa Kagera Sugar katika mbungi iliyopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika mchezo huu, Fiston Mayele amefunga magoli mawili dakika ya 30 na 50 huku la tatu likipigwa na Saidi Ntibazonkiza dakika ya 64.

Magoli na penati | Yanga 3-3 Coastal Union (Pen: 4-1) | Fainali ASFC 02/07/2022

982445
4881
686
00:14:41
02.07.2022

Yanga SC wamebeba Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC kwa kuitandika Coastal Union penati 4-1 kufuatia sare ya mabao 3-3 katika dakika 120. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huo yamefungwa na Feisal Salum dakika ya 57, Heritier Makambo dakika 82 na Denis Nkane dakika ya 113 huku magoli yote ya Coastal Union yakifungwa na Abdul Suleiman Sopu ambaye amefunga #Hattrick dakika ya 11, 88 na 98. Katika mikwaju ya penati, Yanga wamefunga penati zote nne walizopiga kupitia kwa Yanick Bangala, Heritier Makambo, Dickson Job na Khalid Aucho huku Coastal wakipoteza penati mbili na kufunga moja kupitia kwa Victor Akpan. Fainali hii imepigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha...... Kutazama full highlights... ingia hapa 🤍

Highlights | Yanga 7-0 Rhino Rangers | Azam Sports Federation Cup 29/01/2023

106452
692
117
00:23:17
29.01.2023

Yamefungwa magoli saba, yote yakitoka Yanga dhidi ya Rhino Rangers kutoka Ligi Daraja la Pili, katika mchezo wa kusaka kuingia hatua ya 16 bora, Azam Sports Federation Cup uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kennedy Musonda amefunga magoli mawili dakika ya 16 na 46 huku mengine yakitoka kwa Dickson Ambundo dakika ya 7, Stephane Aziz Ki dakika ya 20, Farid Mussa dakika ya 25, Yannick Bangala dakika ya 26 na David Bryson dakika ya 90'+3. Kwa ushindi huu, Yanga sasa itakipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Magoli Ya Yanga wagner Arabian Gulf s'amuse g4 몰골 david ferrer SAMU george soros vs modi Murad Başar asr surasi macaco music Mansa musa 霸總 cook garden kannada food recipes โอนหุ้น Far Cry 6 game uzaylılar colors bengali serial